Delivery bure Dar es Salaam. Tunafikisha Tanzania nzima.

Sikkens Mawere / autoclear-plus
Sikkens Autoclear® Plus
← Rudi kwenye bidhaa

Mifumo ya rangi

Sikkens Autoclear® Plus

Clearcoat ya kitaalamu kwa ulinzi na mng’ao wa mifumo ya basecoat inayooana.

Autoclear Plus huweka tabaka la uwazi la ulinzi juu ya basecoat inayooana. Mchanganyiko, upakaji na curing sahihi ni muhimu; wasiliana nasi kupata mfumo unaofaa.

Upatikanaji na ukubwa wa vifungashio unaweza kutofautiana. Uliza stock ya sasa na mfumo sahihi unaooana.
Uliza bei kwa WhatsApp↗

Bidhaa hii hutumika kwa

Matumizi ya kawaida

  • ✓Ulinzi juu ya basecoat
  • ✓Kuongeza mng’ao
  • ✓Upakaji wa kitaalamu wa magari

Kumbuka

Taarifa hii ni mwongozo wa jumla. Fuata Technical Data Sheet ya bidhaa na tumia vifaa sahihi vya kujikinga.

Timu ya mauzo

Huna uhakika kama hii ndiyo bidhaa sahihi?

Tueleze gari, sehemu ya ukarabati na muonekano unaotaka. Timu yetu itakusaidia kuchagua mfumo unaooana.

Tuandikie WhatsApp↗

Bidhaa zinazohusiana

Endelea kujenga mfumo wako.